Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa

Last Updated on 01/08/2021 by Tabibu Fadhili Paulo

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa

Ni usiku wa mahaba leo.

Wakati unajipanga juu ya mavazi utakayovaa bila shaka kunaweza kuwa na chakula cha pamoja kabla ya kwenda kulala ili kuongeza kidogo hali ya kuwa pamoja.

Sasa kama hujuwi ni chakula kipi ule na kipi usile muda mchache kabla ya hiyo mechi unaweza kupata shida au ukasababisha sherehe isikamilike!

Haya mimi leo nakuwekea hapa vyakula ambavyo hutakiwi kula muda mchache kabla ya mechi ili uwe na ufanisi mzuri, navyo ni pamoja na;

Soma hii pia > Vyakula vinavyoongeza nguvu za kiume kwa haraka zaidi

Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa

1. Maharage
2. Pilipili
3. Kitunguu swaumu
4. Nyama nyekundu
5. Viazi
6. Soda

Kumbuka nimesema hivi hutakiwi kula muda mchache kabla ya tendo la ndoa. Kumbe nyakati nyingine unaweza kuvitumia

Kumbe hivi vifuatavyo ni vizuri ukila muda mchache kabla ya mechi;

Kumbe hivi vifuatavyo ni vizuri ukila muda mchache kabla ya mechi

1. Kiazi pori (beets),
2. Wali,
3. Chokoleti nyeusi,
4. Nanasi,
5. Mvinyo mwekundu

Soma hii pia > Jinsi ya kuacha punyeto

Kama una swali au unahitaji ushauri wowote uliza hapo kwenye comment ni faraja kwangu kuona nimekujibu vizuri.

Imesomwa na watu 13,334
Usile vyakula hivi muda mchache kabla ya tendo la ndoa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

WhatsApp 0714800175