Naitwa Fadhili Paulo
Ni Tabibu wa Tiba asili na ni Mtanzania.
Ni mwanzilishi wa Tumaini Herbal Life (C.E.O & Founder).
TUMAINI HERBAL LIFE, Ipo Kibugumo Mji Mwema Kigamboni.
Lakini tunafanya pia kazi kwa njia ya mtandao.
Tumaini Herbal Life Tunauza Dawa za Asili, Vipodozi vya Asili na Vyakula vya Asili.
Muda wa kazi : Saa tatu asubuhi mpaka saa kumi na mbili kamili jioni, Jtatu – Ijumaa.
Kusoma makala zangu mbalimbali bonyeza hapa
Muda ni MALI
Sambaza Upendo, usisambaze Chuki