Afya ya Uzazi

Dalili 17 za homoni kutokuwa sawa kwa mwanaume

Dalili 17 za homoni kutokuwa sawa kwa mwanaume Hali ya homoni kutokuwa sawa kwa mwanaume hutokea wakati mwili wako unapozalisha sana au wakati mwili wako unazalisha kidogo sana homoni mhimu kwenye mwili wako. Hali ya homoni imbalance kwa maisha ya sasa ya mbio na haraka ni jambo la kawaida sana kwa wanaume wengi. Kila mwanaume […]

Kitu kimoja ambacho karibu wanandoa wote hugombana kwa sababu yake

Kitu kimoja ambacho karibu wanandoa wote hugombana kwa sababu yake Kila ndoa unayoiona au kila wanandoa unaowaona hata kama kuna nyakati wanaonekana kuwa na furaha sana machoni pa watu, bado kuna nyakati huwa wanagombana! Bila kujali dini yao, umri wao, elimu zao, kipato chao, rangi zao, yaani bila kujali chochote kuwahusu wanandoa husika bado kuna […]

Sababu 5 za kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume duniani

Sababu 5 za kupungua kwa idadi ya mbegu za kiume duniani Kiwango cha mbegu za uzazi za kiume kilianguka kwa 51% katika kipindi cha miongo mitano, kulingana na tafiti Kiwango cha mbegu za uzazi za kiume kinachotolewa wakati wa tendo la kujamiiana kimeshuka kwa asilimia 51 katika kipindi cha miaka 50 iliyopita. Ni moja ya […]

Ndoa 300 zinavunjika Dar kila mwezi

Dodoma. Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeshtushwa na kasi ya kuvunjika kwa ndoa nchini chanzo kikubwa kikiwa ni kumomonyoka kwa maadili huku Mkoa wa Dar es Salaam pekee ndoa ni zaidi ya 300 zikivunjika kwa mwezi. Hayo yamesemwa leo na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Stanslaus Nyongo, leo Jumatatu Septemba 5, 2022 baada […]

Hasara inayoweza kutokea mke anapoishiwa hamu ya tendo la ndoa mara kwa mara

Hasara inayoweza kutokea mke anapoishiwa hamu ya tendo la ndoa mara kwa mara Nakusalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania … Ni matumaini yangu umzima na unaendelea na kazi na majukumu yako ya kujenga maisha yako na taifa kwa ujumla. Leo tena nimepata muda na nimeona niliongelee hili nalo. Nataka upate kufahamu ni […]

Ukweli na uzushi kuhusu homoni ya testosterone

Ukweli na uzushi kuhusu homoni ya testosterone Kichocheo cha testosterone ni homoni ambayo hupatikana zaidi kwa upande wa mwanaume ni muhimu kwa afya ya pande zote mbili yaani mwanamke na mwanaume pia. Kadri umri unavyoenda mbele basi kiwango cha uzalishaji wa kichocheo cha testosterone kupungua, kupungua kwa kichocheo hiki kawaida huanza baada ya miaka 30 […]

Sababu kuu 7 kwanini wanawake wanachepuka

Sababu kuu 7 kwanini wanawake wanachepuka Asilimia mpaka 45 ya wanawake waliopo kwenye ndoa wanachepuka. Kumbuka sababu za mwanamke kuchepuka ni nyingi na hakuna namna wewe kama mwanaume unaweza kufanya ili kumzuia mkeo asichepuke. Haijalishi wewe mwanaume ni nani na una nini. Mkeo akiamua kuchepuka atachepuka tu, huwezi kumzuia. Kuna vitu unaweza kufanya kama mme […]

Mwanamke akikupenda sana anaweza kuchepuka

Mwanamke akikupenda sana anaweza kuchepuka Mkeo akikupenda SANA anaweza kuchepuka!!! Huenda ulikuwa bado hujuwi kuhusu hili lakini moja kati ya sababu nyingi zinazoweza kumshawishi mkeo achepuke inaweza kuwa ametokea kukupenda sana kupita kiasi. Hiyo ni ngumu kuielewa lakini nitajaribu kukusaidia uweze kuelewa kwanini hilo linaweza kutokea. Kinachotokea ni kitu ambacho kwa lugha ya kiingereza hujulikana […]

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume

Tendo la ndoa hupunguza hatari ya kupata saratani ya tezi dume Katika hali ya kawaida inaelezwa kushiriki tendo la ndoa kuna faida nyingi kiafya, hata hivyo kushiriki tendo la ndoa mara nyingi kupita kiasi kunaweza kusababisha matatizo ya msingi ambayo huleta madhara kwa watu wanaoiendekeza. Mtu anaweza kuwa na mwenzi na kujikuta kila siku anatumia […]

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume

Mambo 9 ya kushangaza na usiyoyajuwa kuhusu mbegu za kiume Una elimu au uelewa wa kiasi gani kuhusu mbegu za kiume yaani shahawa? Kuna uwezekano mkubwa hujawahi kuwa na muda wowote wa kupeleleza au kujifunza mengi kuhusu mbegu zako. Kama hujawahi kupata shida kutungisha mimba unaweza usiwaze lolote kuhusu mbegu zako na ukaendelea kuzichukulia poa […]

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao

Namna wanawake wanavyochangia upungufu wa nguvu za kiume kwa waume zao Wanawake wanahusika pia na upungufu wa nguvu za kiume Kesi ya wanaume kupungukiwa nguvu za kiume zimezidi kushika kasi, kiasi cha kufanya dawa za kuongeza nguvu hizo kuwa maarufu na zenye mahitaji makubwa katika jamii Waganga wa kienyeji wamekuwa wakitumia dawa hizo kama tiba […]

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume

Dawa ya kuongeza mbegu za kiume Mwanaume mwenye uwezo wa kuzalisha anahitaji kuwa na mbegu zisizopungua milioni 20, chochote chini ya hapa kinaweza kuwa sababu ya kutokutungisha ujauzito. Ikitokea umegundulika kuwa na mbegu chache, ni nyepesi sana na hazina nguvu za kukimbia vya kutosha basi dawa hii itaweza kukusaidia kuongeza uwingi wa mbegu zako bila […]